YangaSC Official App
Citizens, always in front of the taboo
Citizens, always in front of the taboo
Total Ratings
GP ratings are temporarily unavailable
Description
Hii ni app rasmi ya Young African Sports Club (Yanga). Jisajili kama Mwanachama wa Klabu au Shabiki ili kupata taarifa mpya za klabu, video, picha, mahojiano maalumu, nunua bidhaa za klabu, tuza wachezaji na changia maendeleo ya klabu yako.
Ukiwa na application hii katika kifaa chako cha mkononi utapata habari zote za klabu zako pale tu zinapotokea. Pakua sasa na ufurahie huduma rafiki kwa ajili yako.
Ukiwa na hii application unaweza kufanya yafuatayo
> Yanga Taarifa: Kupata taarifa za matukio yote ya Klabu pamoja na soka kwa ujumla hapa nyumbani pamoja na ulimwenguni.
> Plaza: Utaweza kununu bidhaa rasmi za Klabu ikiwa ni pamoja na Jezi ya timu, Kitambulisho cha uanachama na kadhalika
> Ada: Unaweza kulipia ada yako ya uanachama na kupata taarifa za uhai wa uanachama wako. Hakikisha unakwenda na kazi ya Klabu ya kuwa mwanachama wa kidigitali
> Tuzo: Utaweza kuwatuza wachezajia pamoja na benchi la ufundi wakati wa mechi mbalimbali za timu. Ni rahisi, utawatuza kwa kutumia mitandao ya simu
> Changia: Utaweza kuchangia miradi na matukio mbalimbali ya timu kwa urahisi kabisa kupitia mitandao ya simu
> Matawi: Utaweza kujiunga na Tawi la yanga karibu na makazi yako na kushiriki katika miradi mbalimabali kupitia matawi ya wanachama
> Kikosi: Wajue wachezaji wa Klabu yako kwa undani na ukaribu, fahamu historia zao na weledi wao katika mchezo wa soka
> Bonus: Jiunge na mfumo wa Shabiki Bonus upate zawadi mabali mbali kutoka na michango yako kama mshabiki
Sasa timu ya Wananchi kuletwa Kiganjani kwa Wananchi. Yanga Kidigitali Zaidi
Timu ya Wananchi Kidigitali Zaidi
Screenshots
Version History
Last version released 1657 days ago.
- Tumerahisisha muonekano wa picha kwenye habari.
- Tumeongeza uwezo wa kuangalia toleo la YangaSC official app ndani ya application
- Taarifa zitakua zinaonekana kwa wakati
- Tumerahisisha muonekano wa picha kwenye habari.
- Tumeongeza uwezo wa kuangalia toleo la YangaSC official app ndani ya application
- Taarifa zitakua zinaonekana kwa wakati
Improved video experience.
uwezo wa kutumia visa na master card umeongezwa
Marekebisho katika baadhi ya maeneo ikiwa ni pamoja na notifications, njia za malipo.
1. Notifications
2. Msimamo wa ligi
3. Mwonekano wa jukwaa na kundi umeboreshwa
4. Uwezo wa kulipia ada ya uanachama.
5. Uwezo wa kujiunga na kundi zaidi ya moja na kujitoa katika kundi.
1. Notifications
2. Msimamo wa ligi
3. Mwonekano wa jukwaa na kundi umeboreshwa
4. Uwezo wa kulipia ada ya uanachama.
5. Uwezo wa kujiunga na kundi zaidi ya moja na kujitoa katika kundi.
1. Tatizo la network limerekebishwa kwa baadhi ya simu zilizokuwa zinasumbua.
1. Tatizo la network limerekebishwa
2. Malipo yamerekebishwa. Sasa unaweza kuona taarifa na kulipia kwa mwezi.
3. Mikoa ya Zanzibar inapatikana sasa.
1. Tatizo la network limerekebishwa
2. Malipo yamerekebishwa. Sasa unaweza kuona taarifa na kulipia kwa mwezi.
Other Information
Show Details