Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho

Price
In-App PurchaseNo
Shows AdsNo
LaunchedMar 29, 2017
Store Categories
Applications|Entertainment

Total Ratings

GP ratings are temporarily unavailable

Description

Vichekesho Vipya - Picha,Video & SMS Za Vichekesho

App Hii imetengenezwa kwa lengo la kukufurahisha, kukuburudisha na kukuvunja mbavu muda wowote na mahali popote kwani tumekukusanyia vituko na Vioja vya kila aina katika category za:-
Video za Vichekesho
Picha za vichekesho na
SMS za Vichekesho.

Vichekesho toka kwa wasanii maarufu kama Joti,Mzee ,Uswege Murderer,Majuto,Mkaliwenu,Ebitoke,Mpoki,Masanja,MC Pilipili,Kingwendu,Bambo,Katarina wa Karatu,Madenge,Mkude Simba,Bwakila,Mau,Kinyambe,Eric Omondi na wengine kibao vinapatikana hapa..!

ZAIDI:
Tutakupatia Vichekesho vipya kila siku na Unaweza kushare Videos, Picha na SMS.

PICHA ZA VICHEKESHO:
Unaweza KuDOWNLOAD picha yeyote inayopatikana kwenye Vichekesho App na ukawanayo kwenye simu yako.
Utapatiwa Majibu ya Maswali Yote yafuatayo, Kama unahitaji kupata..
* Picha mbalimbali za Vichekesho
* Picha kali za vichekesho
* Picha za kuchekesha Ulaya, India, Kenya Pakistani, Uarabuni na Duniani Pote.
* Picha za Vichekesho Download For Free
* Picha za Vichekesho Vya Whatsapp

Unaweza kuset picha yeyote kama Background image ya simu yako na Pia,
Unaweza kushare na marafiki picha kwenye mtandao wowote kama Whatsapp, facebook, twitter, instagram n.k

SMS ZA VICHEKESHO
Katika Section Hii ya Message / SMS za vituko vya kufurahisha,
Unaweza Kutuma SMS ya kichekesho chochote kwa Mpenzi, Rafiki, mshikaji au mtu yeyote ambaye utapenda kushare nae katika mfumo wa message za kawaida kabisaaa
SMS za Utani,
SMS kwa Rafiki za Kumchekesha
Meseji za Vichekesho Vunja mbavu
Sms za Vichekesho za mapenzi

VIDEO ZA VICHEKESHO.
Vichekesho App inakupa uwezo wa Kuenjoy Video za Vichekesho mbali mbali kama,
Vichekesho Vya Whatsapp
Vichekesho Vya Instagram
Vichekesho vya Facebook
Vichekesho Vya Instagram na Vingine kibao!.

Features zitakazoongezwa hivi karibuni katika Update ijayo ni
Kudownload Video za Vichekesho
Download Video za Youtube za vichekesho na vunjambavu.

Pia unaweza kushare video hizo bila ya kuwa na shida yeyote kabisa.

FAVOURITES
You may share these funny text, sms, Videos and images with friends through Whatsapp, facebook, instagram, etc
Be ready to get Daily Udates and free download service integrated in our app.

DISCLAIMER:
We do not own or host any of these Images, SMS or videos. They are publicly available for everyone on YouTube and other Content Sharing Sites.

Screenshots

Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho screenshot 1
Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho screenshot 2
Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho screenshot 3
Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho screenshot 4
Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho screenshot 5
Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho screenshot 6
Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho screenshot 7
Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho screenshot 8

Version History

Last version released 2485 days ago.

2.1.0Jun 06, 2018

Performance Improvement

2.9Jun 05, 2018

Performance Improvement

2.7Jun 02, 2018

Muonekano mpya wa picha
pics & video placement are swapped
Smooth UI Design

2.6Jun 01, 2018

Muonekano mpya wa picha
pics & video placement are swapped
Smooth UI Design

2.5May 19, 2018

Furahia muonekano mpya wa section ya SMS za vichekesho!

2.3May 14, 2018

Furahia muonekano mpya wa section ya SMS za vichekesho!

2.2May 14, 2018

Furahia muonekano mpya wa section ya SMS za vichekesho!

2.1May 12, 2018

Screens swaped
Ads issue fixed

2.0Jan 29, 2018

Bugs Fixed
Enjoy Funny Videos plus Jokes

1.9Jan 23, 2018

Tumerekebisha matatizo madogo.Furahia Vichekesho Vipya masaa 24 ukiwa na App Hii

1.5Aug 25, 2017

1. Bugs fix(Tumerekebisha matatizo madogo madogo)
2. UI Improved(Tumeboresha muonekano)
Burudika na Vunjukambavu kwa Vichekesho vya PICHA,SMS na VIDEO.

1.4Aug 23, 2017

1. Bugs fix(Tumerekebisha matatizo madogo madogo)
2. UI Improved(Tumeboresha muonekano)
Burudika na Vunjukambavu kwa Vichekesho vya PICHA,SMS na VIDEO.

1.3Jun 30, 2017

1.Minor bug fix(tumerekebisha matatizo madogo)
2.UI Improved(tumeboresha App)
Vunjikambavu kwa Vituko na Vichekesho mbalimbali vya PICHA, MESSAGE na VIDEO.

1.2Jun 23, 2017

1. Bugs fix(Tumerekebisha matatizo madogo madogo)
2. UI Improved(Tumeboresha muonekano)
Burudika na Vunjukambavu kwa Vichekesho vya PICHA,SMS na VIDEO.

1.1Jun 05, 2017

Bug fix (Tumeondoa tatizo la video)
UI Improved(Tumeboresha Muonekano)
Cheka na Vunjika mbavu sasa kwa Picha,SMS na Video za Kuchekesha

LaunchedMar 29, 2017

Other Information